Chairperson
Registrar
Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania Bi.Agnes Mtawa, amewapongeza wauguzi viongozi kwa kuendelea kutoa ushirikiano mkubwa katika utendaji wa majukumu ya Baraza katika maeneo yao ya kazi. “Nitumie fulsa hii kuwapongeza kwa kazi
Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania(TANNA) Bwana Alexanda Balulya, amesema kuna umuhimu wa kushirikiana katika utendaji kazi wawapo vituo vya kazi na kuiheshimu tasnia ya Uuguzi na Ukunga nchini. “Ubaguzi wakitaaluma hautakiwi katika utendaji kazi,
"Ilituweze kuboresha huduma ya jamii inatakiwa kuwa na wauguzi wenye sifa ya kuhudumia jamii, “ni kweli tukubali kuwa tupo na shida ya walimu wasio na sifa ya kufundisha wanafunzi haiwezekani mwalimu umetoka chuo ukaenda kufundisha
Mkurugenzi wa Usajili, Leseni na Maadili kutoka TNMC Bi. Jane Mazigo amewataka Wauguzi viongozi kutoka ngazi zote za kutolea huduma za Afya nchini kusimamia vyema huduma za Afya nchini sambamba na kuhakikisha huduma ya Uuguzi