
WATAHINIWA 5147 KUFANYA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI
Jumla ya watahiniwa 5147 waliohitimu katika vyuo mbalimbali, wanatarajiwa kufanya Mtihani wa usajili na leseni unaoratibiwa na Baraza la uuguzi na ukunga Tanzania (TNMC) katika vituo vilivyotengwa kwenye mikoa ya Dodoma, Dar es Salaam, Iringa, Tabora, Mwanza na Arusha. Hilo limebainishwa na Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania,








