
MAJINA YA WANAFUNZI WENYE CHANGAMOTO YA USAJILI WA AWALI (INDEXING)
Zaidi ya wanafunzi 500 watakosa sifa za kuomba mtihani wa usajili na leseni endapo watashindwa kufanya marekebisho muhimu ya maombi ya usajili wa awali (student Indexing) kwenye akaunti zao za mfumo wa Baraza. Aidha yapo mapungufu mbalimbali ikiwa ni pamoja na picha zisizo na ubora na Kutoweka nyaraka muhimu za




