Mkurugenzi wa Kinga wa Wizara ya Afya kutoka Tanzania Dkt. Ntuli Kapologwe, ameibuka mshindi wa nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Afrika Mashariki, Kati, na Kusini (ECSA – HC) na
Madaktari Wasio na Mipaka (MEDECINS SANS FRONTIERES- MSF) wametembelea ofisi ya msajili kufahamu utendaji kazi wake hususaji kuhusu sajili za wauguzi na wakunga hapa nchini wakiwa kama wadau katika utoaji wa huduma za kiafya hapa
Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania Bi. Agness Mtawa amewataka wanafunzi wote wa kada ya Uuguzi na Ukunga nchini kuhakikisha wanakamilisha usajili wa awali (Student Indexing) ili kuweza kutambulika na mfumo wa Baraza