Kundi la kwanza REJECTED APPLICANT
Kundi la Pili NOT SELECTED EXAM CENTRE
Tafadhari kamilisha Maombi yako kisha tujulishe kwa WhatsApp Namba
0796 55 89 77 au simu Namba 0736 00 6060
NB: Mwisho wa kumamilisha marekebisho na kuchagua kituo cha mtihani ni tarehe 15.05.2026 Kuto kumamilisha maombi hayo kwa wakati basi utakosa sifa ya kufanya mtihani wa usajili na leseni