Chairperson
Registrar
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) leo 11.10.2024 limezindua mfumo wa mawasiliano ya huduma kwa wateja utakao tumika kuwasiliana na umma hususani wadau wake wakuu ambao ni wauguzi na wakunga ndani na nje ya
Viongozi wa Chama cha “wanafiziotherapi” Tanzania (Association of Physiotherapists in Tanzania) leo oktoba 10,2024 wameitembelea ofisi ya Msajili wa Baraza la Uuguzi na Uunga Tanzania kwa lengo la kujifunza mambo mbalimbali ya utendaji kazi wa
“Leseni ni utambulisho kwa muuguzi na mkunga kutoa huduma kwa jamii na ipo kwa mjibu wa Sheria ya Uuguzi na Ukunga ya mwaka 2010 hivyo, ni vyema kwa Muuguzi na Mkunga kuwa na leseni iliyo
SASA KUTUMIA NAMBA MOJA YA MAWASILIANO. Katika kuboresha huduma kwa mteja, Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania TNMC linaendelea na mchakato wa kunzisha kituo cha mawasiliano na wadau wake hususani wauguzi na wakunga nchini na