Zaidi ya wanafunzi 500 watakosa sifa za kuomba mtihani wa usajili na leseni endapo watashindwa kufanya marekebisho muhimu ya maombi ya usajili wa awali (student Indexing) kwenye akaunti zao za mfumo wa Baraza.
Aidha yapo mapungufu mbalimbali ikiwa ni pamoja na picha zisizo na ubora na Kutoweka nyaraka muhimu za usajili ikiwa ni pamoja na vyeti vya kitaaluma.
Baraza linawataka wanafunzi hawa kufanya marekebisho mara moja kupitia akaunt zao na kutoa taarifa za marekebisho kwa WhatsApp No. 0737962691