Leo, Agosti 04,2025 Menejimenti ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania imepata mafunzo kuhusu ripoti endelevu na viwango vya kimataifa vya uhasibu sekta ya umma (IPSAS).
Mafunzo hayo yanayotolewa na CPA DR. NEEMA KIURE yanatarajiwa kufanyika kwa siku tano yanalenga kuwaongezea uelewa kwa menejimenti ya TNMC juu ya ripoti endelevu na viwango vya kimataifa vya uhasibu sekta ya umma (IPSAS).


