WAFUATAO WATAKIWA KUKAMILISHA MAOMBI YA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI

Kundi la kwanza REJECTED APPLICANT Kundi la Pili NOT SELECTED EXAM CENTRE Tafadhari kamilisha Maombi yako kisha tujulishe kwa WhatsApp Namba0796 55 89 77 au simu Namba 0736 00 6060 NB: Mwisho wa kumamilisha marekebisho na kuchagua kituo cha mtihani ni tarehe 15.05.2026 Kuto kumamilisha maombi hayo kwa wakati basi utakosa sifa ya kufanya mtihani […]
GUIDELINE FOR THE ESTABLISHMENT OF NURSING AND MIDWIFER SCHOOL/PROGRAM

Download Here
KITABU CHA WAHITIMU MAHAFALI YA 15 YA KITAALUMA MARCH 2026.

TAZAMA ORODHA YA WAHITIMU HAPA
Wauguzi na Wakunga Dodoma Marathon 2026
ADHABU DHIDI YA WAUGUZI, WAKUNGA WALIOKIUKA MAADILI YA KITAALUMA NCHINI:

Gusa Hapa Kuisoma Taarifa kwa kina
MATOKEO YA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI ULIOFANYIKA TAREHE 19.12.2025

Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) anaufahamisha umma kwamba kikao cha Baraza cha (225) kilichoketi leo 11 Februari 2026 kwa mujibu wa Sheria ya Uuguzi na Ukunga “The Nursing and Midwifery Act, 2010” kifungu cha (6) (a) na (o), kimepitia na kuidhinisha matokeo ya Mtihani wa usajili na leseni uliofanyika 19 Disemba […]
WAJUMBE WA BARAZA TNMC KATIKA KIKAO KUSIKILIZA TUHUMA ZA KITAALUMA

Wajumbe wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) wakiongozwa na Mwenyekiti wake Prof. Lilian Msele Muuguzi Mbobezi, leo 10 February 2026 wamekutana Jijini Dodoma katika ukumbi mdogo wa mikutano wa Jakaya kwa ajili ya vikao vitavyofanyika kwa siku nne mtawalia maalumu kusikiliza tuhuma mbalimbali zinazowakabili wauguzi na wakunga hapa nchini. Vikao hivi vinavyoratibiwa na […]
NAMBA ZA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI 19.12.2025

Zifuatazo ni namba za Mtihani wa kitaifa wa Usajili na Leseni utakaofanyika 19.12.2025 katika Vituo mbalimbali hapa nchi tafadhari kila Kada ina majina na Vituo husika Tazama Namba yako sasa. 1: BACHELOR OF SCIENCE IN MIDWIFERY 2: ALL BSc. NURSING AND BSc. NURSING EDUCATION 3: ALL BACHELOR OF SCIENCE IN NURSE ANESTHESIA 4: DIPLOMA IN […]
Wajumbe Wa Baraza TNMC Waketi Kwa Kikao Cha Robo Ya Kwanza Ya Mwaka Wa Fedha 2025/26 Dodoma

Wajumbe wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania tarehe 25 Novemba 2025 wamekutana Jijini Dodoma katika ukumbi mdogo wa mikutano wa TANAPA kwa lengo la kufanya Kikao cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2025/26. Kikao kimeongozwa na Mwenyekiti wa Baraza ambaye ni Prof. Lilian Msele huku katibu wake akiwa msajili wa Baraza Bi. […]
WATARAJALI WATAKIWA KUHUDHURIA MAFUNZO ELEKEZI (INDUCTION SESSION) – DODOMA