
Madaktari Wasio na Mipaka (MEDECINS SANS FRONTIERES- MSF) wametembelea Ofisi ya Msajili -TNMC
Madaktari Wasio na Mipaka (MEDECINS SANS FRONTIERES- MSF) wametembelea ofisi ya msajili kufahamu utendaji kazi wake hususaji kuhusu sajili za wauguzi na wakunga hapa nchini wakiwa kama wadau katika utoaji wa huduma za kiafya hapa nchini. Madaktari Wasio na Mipaka (MEDECINS SANS FRONTIERES- MSF) ni akika nani? Hili ni Shirika