
Chairperson

Registrar
Zifuatazo ni namba za Mtihani wa kitaifa wa Usajili na Leseni utakaofanyika 19.12.2025 katika Vituo mbalimbali hapa nchi tafadhari kila Kada ina majina na Vituo husika Tazama Namba yako sasa. 1: BACHELOR OF SCIENCE IN
Wajumbe wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania tarehe 25 Novemba 2025 wamekutana Jijini Dodoma katika ukumbi mdogo wa mikutano wa TANAPA kwa lengo la kufanya Kikao cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha