Mgeni rasmi Prof. Lilian Msele akihutubia katika mahafali ya nane ya wahitimu Wauguzi na Wakunga waliotunukiwa Vyeti na Leseni
Mahafali ya nane ya Wauguzi na Wakunga wakila kiapo kuitumikia taaluma yao.
Msajili Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania Bi. Agnes Mtawa akiwasha mshumaa kwa ajili ya kuwaapisha Wauguzi na Wakunga waliohitimu na kupatiwa vyeti na leseni.
Mahafali ya nane ya Wauguzi na Wakunga wakila kiapo kuitumikia taaluma yao.
Mahafali ya nane ya Wauguzi na Wakunga wakila kiapo kuitumikia taaluma yao.
Baadhi ya Wasajili wa mabaraza mbalilimbali waliohudhuria mahafali ya nane ya Waguzi na Wakunga