
ZAIDI YA WANAFUNZI 500 KUKOSA SIFA ZA KUFANYA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI
Zaidi ya wanafunzi 500 watakosa sifa za kuomba mtihani wa usajili na leseni endapo watashindwa kufanya marekebisho muhimu ya maombi ya usajili wa awali (student Indexing) kwenye akaunti zao za mfumo wa Baraza. Aidha yapo mapungufu mbalimbali ikiwa ni pamoja na picha zisizo na ubora na Kutoweka nyaraka muhimu za