Leo 24.04.2025 Wajumbe wa kamati ya Elimu na Maendeleo ya taaluma ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania TNMC wanafanya kikao cha kawaida cha robo ya tatu leo katika ukumbi mdogo wa mikutano wa Ofisi
Leo 15.04.2025 Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Usajili na uorodheshwaji ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania TNMC wanaketi kwa kikao cha kawaida cha robo ya tatu ambacho hufanyika kila robo mwaka kupitia utekelezaji
Wahitimu wote wa kada za Uuguzi, Ukunga na Utaalamu wa dawa za usingizi na ganzi, wanaotarajia kufanya Mtihani wa Usajili na Leseni, mnatangaziwa kuwa dirisha la maombi litafunguliwa rasmi kuanzia Jumamosi ya tarehe 12.04.2025 hadi
Download hapa