HAWA HAPA WAJUMBE WA BARAZA LA UUGUZI NA UKUNGA TANZANIA (TNMC)
Waziri wa Afya Mhe. Jenesta Mhagama (Mbunge) amefanya uteuzi na kuzindua Baraza jipya la Uuguzi na Ukunga Tanzania(TNMC) lenye jumla ya wa wajumbe 12 baada ya wajumbe wa Baraza la awali kumaliza muda wao Uteuzi wa wajumbe 12 wa Baraza ni kwa Mujibu wa kifunga namba 5 – (1) cha