NI KOSA KISHERIA KUMTELEKEZA MGONJWA

“Hakuna mtu anayeweza kuacha kitanda nyumbani aseme mimi nataka nikalale Hospitalini, hivi kweli unaacha kitanda chako cha tano kwa sita, ukalale Hospitali? Kwa hiyo mara nyingi nasema hii kazi yetu ni ya ubinadamu kwa sababu ni lazima uvae viatu vya mgonjwa na hakuna nayejua yatakayompata dakika mbili kuanzia sasa, unaweza kushitukia na wewe umelazwa na […]
WAUGUZI NA WAKUNGA NCHINI WATAKIWA KUWA NA LUGHA NZURI KWA WATEJA

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Maadili,Usajili na Leseni Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania Bi.Jane Mazigo wakati wa mafunzo na sheria ya uuguzi na ukunga yaliyofanyika Halmashauri ya Kibaha katika ofisi za baraza la uuguzi na ukunga mkoani Pwani. kwa upande wake Mwanasheria wa baraza la uuguzi na ukunga Tanzania Isaya Nkya wakati wa mafunzo […]
“ZINGATIENI MAFUNZO KWA VITENDO- BI.MASENGA”

Wanafunzi wanaosoma taaluma ya Uuguzi na Ukunga katika Vyuo mbalimbali Nchini, wameshauriwa kuzingatia mafunzo kwa vitendo wanapokuwa vyuoni ili kuwa na umahiri unaotakiwa katika taaluma ya Uuguzi na Ukunga pamoja na kufaulu mitihani ya usajili na leseni inayoratibiwa na Baraza. Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa mafunzo na maendeleo ya taaluma wa Baraza la Uuguzi […]
WAJUMBE WA BARAZA WAZURU ENEO LA UJENZI WA OFISI ZA TNMC-DODOMA

Wajumbe wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania leo tarehe 03/10/2023 wametembelea eneo la ujenzi wa Ofisi za Baraza.Wajumbe hao wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania Profesa Lilian Msele na katibu wa Baraza Bi. Agnes Mtawa, wameonesha kufurahishwa na hatua za awaliza za ujenzi huo. Ujenzi huo unatekelezwa na kampuni yenye […]
TNMC YAENDELEA KUWANOA WAUGUZINA WAKUNGA NCHINI.

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania limendelea kuwajengea uwezo Wauguzi na Wakunga nchini kwa kuwafundisha jinsi ya kutoa huduma wanaposhiriki zoezi la upasuaji katika chumba cha upasuaji ili kuboresha huduma na mara hii, mafunzo hayo yamefanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Ligula Mkoani Mtwara. Mafunzo hayo yanayowahusisha Madaktari, Wauguzi na Wakunga pamoja na wahudumu wa […]
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania leo Tarehe 03 Oktoba 2023 limeketi katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma kwa ajili ya kikao cha cha robo ya kwanza cha mwaka wa Fedha 2023/2024.Kikao hiki cha kikanuni, katika utendaji kazi wa Baraza, kinaangazia agenda 14 ikiwa ni pamoja na kupokea taarifa ya utekelezaji wa kazi katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa Fedha 2023/2024 kutoka katika Kurugenzi, Divisheni na Vitengo.