HAWA HAPA WAJUMBE WA BARAZA LA UUGUZI NA UKUNGA TANZANIA (TNMC)

Waziri wa Afya Mhe. Jenesta Mhagama (Mbunge) amefanya uteuzi na kuzindua Baraza jipya la Uuguzi na Ukunga Tanzania(TNMC) lenye jumla ya   wa wajumbe 12 baada ya wajumbe wa Baraza la awali kumaliza muda wao Uteuzi wa wajumbe 12 wa Baraza ni kwa Mujibu wa kifunga namba 5 – (1) cha Sheria ya Uuguzi na Ukunga […]

WAZIRI WA AFYA ATEUA NA KUZINDUA BARAZA LA TNMC LEO

Waziri wa Afya Mhe. Jenesta Mhagama (Mbunge) amefanya uteuzi na kuzindua Baraza jipya la Uuguzi na Ukunga Tanzania(TNMC) lenye jumla ya wajumbe 12 baada ya wajumbe wa Baraza la awali kumaliza muda wao. Uteuzi wa wajumbe 12 wa Baraza ni kwa Mujibu wa kifunga namba 5 – (1) cha Sheria iliyotungwa na Bunge ya Uuguzi […]

WATAHINIWA 5147 KUFANYA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI

Jumla ya watahiniwa 5147 waliohitimu katika vyuo mbalimbali, wanatarajiwa kufanya Mtihani wa usajili na leseni unaoratibiwa na Baraza la uuguzi na ukunga Tanzania (TNMC) katika vituo vilivyotengwa kwenye mikoa ya Dodoma, Dar es Salaam, Iringa, Tabora, Mwanza na Arusha. Hilo limebainishwa na Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, Bi. Agnes Mtawa, mjini Kibaha […]

NAMBA ZA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI DISEMBA 2024.

A: BACHELOR BACHELOR OF SCIENCE IN MIDWIFERY (KITUO CHA:KAMPALA,RUCU,IAA,UDOM,TANDABUI) BACHELOR OF SCIENCE IN NURSING (KITUO CHA: KAMPLA,IAA,RUCU,UDOM,TPC,TANDABUI)BACHELOR OF SCIENCE IN NURSE ANAESTHESIA (KITUO CHA: KAMPALA) B:DIPLOMA INSTITUTE OF ACCOUNTACY ARUSHA: MAIN HALL 2 KAMPALA UNIVERSITY: LECTURE HALL 8 RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY -IRINGA: MAIN HALL 1 ST. JOHN’S UNIVERSITY OF TANZANIA: MAIN HALL (BASH) TABORA POLYTECHNIC […]

WAUGUZI NA WAKUNGA ZAIDI YA 1200 WATUNUKIWA VYETI NA LESENI ZA KITAALUMA.

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limewatunuku wauguzi na wakunga 1222 Leseni na  vyeti vya kitaaluma hii leo 13.12.2024 katika Mahafali ya 12 ya kitaaluma yaliyofanyika katika ukumbi wa st.peter’s swaswa uliopo Jijini Dodoma. Akihutubia katika hafla ya kitaaluma Mgeni rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na ukunga nchini na Muuguzi Mkuu […]

WATOA HUDUMA CHUMBA CHA UPASUAJI MTWARA-SZRH WANUFAIKA NA MAFUNZO KUTOKA TNMC.

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC), limetoa mafunzo elekezi kwa Madaktari, wauguzi,wakunga na wauguzi wataalamu wa dawa za usingizi na ganzi wanaofanya kazi katika vyumba vya upasuaji pamoja na baadhi ya watumishi kutoka vitengo mbalimbali vya kutolea huduma wapatao 45 katika Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini, juu ya namna bora ya kutoa huduma […]

slot gacor