
OFISI MPYA ZA TNMC ZIPO KATIKA HATUA YA MWISHO KUKAMILIKA
Menejimenti ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) ikiongozwa na Msajili Bi. Agnes Mtawa leo Oktoba 1, 2025 imefanya ziara ya kutembelea eneo la ujenzi wa Ofisi ya Baraza (site visiting) kuangalia hatua za ujenzi wa Ofisi za Baraza. Mradi huo utakaogharimu kiasi cha Shilingi billioni 1.8 za kitanzania