THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

TANZANIA NURSING AND MIDWIFERY COUNCIL

MATOKEO YA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI ULIOFANYIKA TAREHE 23.05.2025

MATOKEO YA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI ULIOFANYIKA TAREHE 23.05.2025

Ofisi ya Msajili Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, kwa mujibu wa Sheria ya Uuguzi na Ukunga "The Nursing and Midwifery Act, 2010" Kifungu cha (6) (a) na (o) inapenda kuwajulisha watahiniwa wote waliofanya Mtihani

super-admin
On June 25, 2025
Baraza Latoa Tahadhari Uwepo Wa Kundi La Watu Ambao Si Waaminifu Wanao Warubuni Wauguzi, Wakunga Kuhusu Kujiendeleza Kitaaluma (CPD)

Baraza Latoa Tahadhari Uwepo Wa Kundi La Watu Ambao Si Waaminifu Wanao Warubuni Wauguzi, Wakunga Kuhusu Kujiendeleza Kitaaluma (CPD)

Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Msajili mapema mwezi juni mwaka huu imewataka wauguzi na wakunga kwa makini na baadhi ya watu wasio na nia njema na taaluma za Uuguzi na Ukunga ambao wanawarubuni wauguzi na

super-admin
On June 11, 2025
MUUGUZI MKUU WA SERIKALI AKUTANA NA MBUNIFU WA “MEDICAL ROBOT BED”

MUUGUZI MKUU WA SERIKALI AKUTANA NA MBUNIFU WA “MEDICAL ROBOT BED”

Leo 04 June 2025 Muuguzi Mkuu wa Serikali Bi. Ziada Sellah amekutana na Muuguzi na Mkunga Edward Tumoyi ambaye mbunifu wa “Medical Robot Bed” ili kuweza kuifahamu kwa kina mfumo huo wa “Medical Robot Bed”

super-admin
On June 4, 2025
KIKAO KAZI CHA KUPITIA MAWANDA (SCOPE OF PRACTICE) YA KADA YA UUGUZI NA UKUNGA TANZANIA

KIKAO KAZI CHA KUPITIA MAWANDA (SCOPE OF PRACTICE) YA KADA YA UUGUZI NA UKUNGA TANZANIA

Timu ya wauguzi na wakunga katika maeneo mbalimbali ya Ubobezi wakutana kwa lengo la kupitia mawanda ya kada ya Uuguzi na Ukunga Tanzania. Akifungua kikao hicho muhimu kinachofanyika katika Ukumbi wa Taasisi ya Afya na

super-admin
On May 29, 2025
Matukio
super-admin

MAADHIMISHO YA MIAKA 72 YA TNMC

Kila ifikapo tarehe 19 machi ya kila mwaka Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania Huadhimisha miaka siku ya kuanzishwa kwa taasisi hii. Mwaka huu TNMC inatarajia kuadhimisha miaka 72 tangu kuanzishwa kwake mnamo 19 machi 1953 kwa kutembelea na kutoa misaada ya kibinadamu katika kituo cha watoto walemavu cha Mlali

Read More »
Matukio
super-admin

MAHALI YA 13 YA KITAALUMA

Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania anawatangazia Watahiniwa wote wa kada za Uuguzi na Ukunga waliofanya Mtihani wa Usajili na Leseni tarehe 20.12.2024 na kufaulu kuwa, Mahafali ya 13 ya kutunuku Vyeti vya Usajili na Leseni yanatarajiwa kufanyika Jijini Dodoma siku ya Ijumaa ya tarehe 21.03.2025 kuanzia Saa

Read More »