Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) anaufahamisha umma kwamba kikao cha Baraza cha (225) kilichoketi leo 11 Februari 2026 kwa mujibu wa Sheria ya Uuguzi na Ukunga “The Nursing and Midwifery Act,
Wajumbe wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) wakiongozwa na Mwenyekiti wake Prof. Lilian Msele Muuguzi Mbobezi, leo 10 February 2026 wamekutana Jijini Dodoma katika ukumbi mdogo wa mikutano wa Jakaya kwa ajili ya