Zaidi ya wanafunzi 500 watakosa sifa za kuomba mtihani wa usajili na leseni endapo watashindwa kufanya marekebisho muhimu ya maombi ya usajili wa awali (student Indexing) kwenye akaunti zao za mfumo wa Baraza. Aidha yapo
Mahafali Ya Kumi Na Nne (14) Ya Kutunuku Vyeti Vya Usajili, Uorodheshwaji Na Leseni Wauguzi Na Wakunga Waliopata Sifa Mahafali yatafanyika Tarehe 17 Septemba 2025 - Ukumbi Wa Chimwaga, Jijini Dodoma. TAZAMA MAJINA HAPA DOWNLOAD
Zaidi ya wanafunzi 500 watakosa sifa za kuomba mtihani wa usajili na leseni endapo watashindwa kufanya marekebisho muhimu ya maombi ya usajili wa awali (student Indexing) kwenye akaunti zao za mfumo wa Baraza. Aidha yapo mapungufu mbalimbali ikiwa ni pamoja na picha zisizo na ubora na Kutoweka nyaraka muhimu za
Mahafali Ya Kumi Na Nne (14) Ya Kutunuku Vyeti Vya Usajili, Uorodheshwaji Na Leseni Wauguzi Na Wakunga Waliopata Sifa Mahafali yatafanyika Tarehe 17 Septemba 2025 – Ukumbi Wa Chimwaga, Jijini Dodoma. TAZAMA MAJINA HAPA DOWNLOAD HAPA
Leo, Agosti 04,2025 Menejimenti ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania imepata mafunzo kuhusu ripoti endelevu na viwango vya kimataifa vya uhasibu sekta ya umma (IPSAS). Mafunzo hayo yanayotolewa na CPA DR. NEEMA KIURE yanatarajiwa kufanyika kwa siku tano yanalenga kuwaongezea uelewa kwa menejimenti ya TNMC juu ya ripoti endelevu
Ofisi ya Msajili Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, kwa mujibu wa Sheria ya Uuguzi na Ukunga “The Nursing and Midwifery Act, 2010” Kifungu cha (6) (a) na (o) inapenda kuwajulisha watahiniwa wote waliofanya Mtihani wa usajili na leseni tarehe 23.05.2025, kuwa matokeo ya Mtihani huu yametolewa leo tarehe 25
Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Msajili mapema mwezi juni mwaka huu imewataka wauguzi na wakunga kwa makini na baadhi ya watu wasio na nia njema na taaluma za Uuguzi na Ukunga ambao wanawarubuni wauguzi na wakunga wakiwataka kutoa kiasi cha Fedha ili wawaweze kuwasomewa mafunzo ya kujiendeleza kitaaluma (CPD) jambo
Leo 04 June 2025 Muuguzi Mkuu wa Serikali Bi. Ziada Sellah amekutana na Muuguzi na Mkunga Edward Tumoyi ambaye mbunifu wa “Medical Robot Bed” ili kuweza kuifahamu kwa kina mfumo huo wa “Medical Robot Bed” namna unavyofanya na kutoa usaidizi katika utoaji huduma katima maeneo ya Afya. Kikao kifupi hicho
Timu ya wauguzi na wakunga katika maeneo mbalimbali ya Ubobezi wakutana kwa lengo la kupitia mawanda ya kada ya Uuguzi na Ukunga Tanzania. Akifungua kikao hicho muhimu kinachofanyika katika Ukumbi wa Taasisi ya Afya na Sayansi Shirikishi Dodoma, Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania Bi.Agnes Mtawa amewapongeza washiriki