THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

TANZANIA NURSING AND MIDWIFERY COUNCIL

Katibu Mkuu Jingu; Wasajili Simamieni Maadili Katika Kada ya Afya

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Jonh Jingu, amewaagiza Wasajili wa Mabaraza na Bodi za kitaaluma zilizochini ya Wizara ya Afya, kuimarisha na kusimamia mifumo ya Maadili ya kitaaluma na ya kazi kwa watumishi wa kada ya Afya, kwa kufika katika maeneo yao ya kazi badala ya kusubiri waletewe kesi mezani. Katibu Mkuu, ametoa […]

Waziri Nape aipongeza TNMC kwa kudhamini Mkutano wa TBC.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mbunge wa Jimbo la Mtama Mkoani Lindi Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ametoa pongezi hizo wakati wa ufunguzi wa Mkutano. ulioandaliwa na Shirika la Utangazaji Tanzania TBC ukiwahusianisha watayarishaji wa vipindi vya Elimu kwa Umma ambao unafanyika Jijini Mwanza ambapo Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania wakiwa […]

Menejimenti ya TNMC imezuru eneo la Mradi wa Ujenzi.

Timu ya Uongozi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) inayoundwa na Msajili ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi, Wakurugenzi, Wakuu wa sehemu na Vitengo, mapema leo 21/02/2024, imezuru eneo ambalo unatekelezwa mradi wa ujenzi wa Ofisi za Baraza eneo la Medeli Jijini Dodoma. Ikumbukwe kuwa, mnamo tarehe 02/10/2023 Baraza lilitiliana Saini na kamapuni […]

Wauguzi, wakunga wapata Mafunzo ya Sheria na Maadili-Geita

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limeweka kambi ya siku sita mkoani Geita kwa lengo la utoaji Mafunzo ya Maadili na sheria ya Uuguzi na Ukunga kwa wauguzi na wakunga katika Halmashauri zote Mkoani humo. Ziara hiyo ya kawaida inalengo la kutoa elimu ya Maadili na Sheria kwa wauguzi na wakunga ili kuendelea kutoa […]

TNMC Yatangaza Matokeo ya Usajili na Leseni

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Usajili na Leseni uliofanyika Tarehe 29.12.2024. Akitangaza Matokeo hayo katika Ofisi za Baraza Jijini Dodoma, Msajili wa Baraza Bi.Agnes Mtawa, amesema, Mtihani huo uliofanyika katika vituo nane (8) ambavyo ni Taasisi ya Afya na Sayansi Shirikishi Tandabui-Mwanza, Taasisi ya Afya na Sayansi Shirikishi-Mbalizi, […]

WAUGUZI 81 WATUNUKIWA VYETI, LESENI ZA KITAALUMA LEO.

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania limeandaa Mahafali kwa Wahitimu wa kozi za Uuguzi na Ukunga waliofaulu Mtihani wa Usajili na Leseni uliofanyika tarehe 07.9.2023. Mahafali hayo ya tisa yamefanyika Jijini-Dodoma, ambapo wauguzi na wakunga wapatao 81 wametunukiwa vyeti pamoja na leseni za kutambuliwa rasmi kama wataalam wa kada hizo. Akizungumza wakati wa utoaji wa […]

MAHAFALI YA TISA YA TNMC WAUGUZI, WAKUNGA WATABASAMU

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania limeandaa Mahafali kwa Wahitimu wote wa Kozi za Uuguzi na Ukunga waliofaulu Mtihani wa Usajili na Leseni uliofanyika tarehe 07/9/2023, Mahafali haya yaliyofanyika katika Ukumbi wa “CATHEDRAL SOCIAL HALL”Jijini-Dodomayataambatana na utoaji wa Vyeti vya Usajili na Leseni.

TAARIFA YA MAHAFALI YA TISA YA KITAALUMA KWA WAUGUZI NA WAKUNGA.

Dodoma-Tanzania 09.01.2024. Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania anawaarifu Wahitimu wote wa Kozi za Uuguzi na Ukunga waliofaulu Mtihani wa Usajili na Leseni uliofanyika tarehe 07/9/2023, Kuwa Mahafali ya kutoa Vyeti vya Usajili na Leseni yatafanyika siku ya Jumanne tarehe 16/1/2024 kuanzia Saa1:00 Asubuhi katika Ukumbi wa “CATHEDRAL SOCIAL HALL”Jijini-Dodoma Maelekezo ya kufika […]