
TANZANIA TUMEJIPANGA KUUDHIBITI UGONJWA WA MPOX USIINGIE NCHINI MPOX – MHE. MHAGAMA
Serikali ya Tanzania imejipanga kuudhibiti ugonjwa wa Mpox usiingie nchini kwa kuimarisha uchunguzi kwa wasafiri kupitia huduma za Afya Mipakani ikiwemo bandari, nchi kavu na viwanja vya ndege, ili kubaini wasafiri wenye viashiria na dalili za ugonjwa huu na kuchukua hatua stahiki. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Afya, Mheshimiwa Jenista