THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

TANZANIA NURSING AND MIDWIFERY COUNCIL

WAUGUZI NA WAKUNGA ZAIDI YA 1200 WATUNUKIWA  VYETI NA LESENI ZA KITAALUMA.

WAUGUZI NA WAKUNGA ZAIDI YA 1200 WATUNUKIWA VYETI NA LESENI ZA KITAALUMA.

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limewatunuku wauguzi na wakunga 1222 Leseni na  vyeti vya kitaaluma hii leo 13.12.2024 katika Mahafali ya 12 ya kitaaluma yaliyofanyika katika ukumbi wa st.peter’s swaswa uliopo Jijini Dodoma.

super-admin
On December 13, 2024
ORODHA YA WATAHINIWA NA VITUO KWA MTIHANI WA VITENDO WATAALAMU WA DAWA YA USINGIZI NA GANZI (NURSE ANAESTHETIST)

ORODHA YA WATAHINIWA NA VITUO KWA MTIHANI WA VITENDO WATAALAMU WA DAWA YA USINGIZI NA GANZI (NURSE ANAESTHETIST)

GUSA LINK HAPA CHINI KWA KITUO CHA MLOGANZILA Orodha ya watahiniwa watakaofanya mtihani kituo cha MLOGANZILA GUSA LINK HAPA CHINI KWA KITUO CHA UPANGA Orodha ya watahiniwa watakaofanya mtihani kituo cha UPANGA

super-admin
On December 12, 2024
WATOA HUDUMA CHUMBA CHA UPASUAJI MTWARA-SZRH WANUFAIKA NA MAFUNZO KUTOKA TNMC.

WATOA HUDUMA CHUMBA CHA UPASUAJI MTWARA-SZRH WANUFAIKA NA MAFUNZO KUTOKA TNMC.

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC), limetoa mafunzo elekezi kwa Madaktari, wauguzi,wakunga na wauguzi wataalamu wa dawa za usingizi na ganzi wanaofanya kazi katika vyumba vya upasuaji pamoja na baadhi ya watumishi kutoka vitengo

super-admin
On November 13, 2024
TAARIFA YA MATOKEO YA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI ULIOFANYIKA TAREHE 23.08.2024

TAARIFA YA MATOKEO YA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI ULIOFANYIKA TAREHE 23.08.2024

Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania Bi.Agnes Mtawa anawajulisha kuwa matokeo ya Mtihani wa usajili na leseni uliofanyika tarehe 23 Agosti, 2024 yametolewa tarehe 07 Novemba, 2024 baada ya kukamilisha mchakato wa taratibu

super-admin
On November 8, 2024
Uncategorized
super-admin

CHUO KIKUBWA CHA KISASA CHA AFYA KUJENGWA DODOMA

Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga fedha katika Bajeti ya Mwaka 2024/25 kwa ajili ya kujenga chuo kikubwa na cha kisasa cha Afya – Mirembe cha uuguzi na ukunga kitakachokua na vifaa vya kisasa ambacho kitatoa wataala wa kutosha katika Sekta ya Afya. Waziri Ummy amesema hayo leo Juni 12,

Read More »
Uncategorized
super-admin

UJENZI WA OFISI ZA TNMC WAFIKIA 52%- DODOMA

Menejimenti ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) leo June 06, 2024 imefanya ziara ya kutembelea eneo la ujenzi wa Ofisi ya Baraza (site visiting) kuangalia hatua za ujenzi wa Ofisi za Baraza. Ujenzi huo unaotekelezwa na kampuni ya ujenzi ya Strategic Business Solution Limited (SBS) unaendelea katika eneo

Read More »
Uncategorized
super-admin

WATOA HUDUMA ZA AFYA WATAKIWA KUIMARISHA MAHUDHURIO MAENEO YA KAZI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amewawaagiza watumishi na wataalam wote wa Afya nchini kuimarisha mahudhurio kwa kuhakikisha wanakuwepo maeneo yao ya kazi kwa muda stahiki wanaotakiwa kuwapo ili kukabilina na majukumu yao na kuiepusha jamii na madhila ambayo yanaepukika. Dkt.Jingu ameyasema hayo Juni 9, 2024 wakati

Read More »
Uncategorized
super-admin

SERIKALI KUAJIRI WATUMISHIWA AFYA 10,112

Serikali imesema kuwa mwaka ujao wa Fedha itaajiri watumishi wa Afya 10,112 ili kukabiliana na upungufu wa watumishi hasa maeneo ya vijijini. Hayo yameelezwa bungeni, Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Afya Dkt. Festo Dugange wakati akijibu swali la Mbunge

Read More »
Uncategorized
super-admin

WAZAZI TENGENI BAJETI YA KUWANUNULIA TAULO ZA KIKE WATOTO WENU

Na WAF, ARUSHAWazazi na walenzi nchini wametakiwa kuhakikisha wanawawezesha watoto wa kike kila mwezi kupata vifaa vyao vyakujilinda na kuwa na hedhi salama katika muda husika. Rai hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Molel wakati akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya juma la hedhi Salama Duniani ambayo

Read More »
Uncategorized
super-admin

BARAZA TNMC LA SIKILIZA TUHUMA ZINAZOWAKABILI WAUGUZI NA WAKUNGA LEO

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania linaendesha Kikao cha kawaida cha Baraza la Uuguzi na Ukunga cha robo ya tatu, kinatarajiwa kufanyika kwa siku mbili mfululizo tarehe 23 na 24/05/2024 kuanzia saa 03:00 asubuhi, katika ukumbi mdogo wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma Kikao kinaendeshwa na Mwenyekiti wa Baraza

Read More »
Uncategorized
super-admin

WAZIRI MCHENGERWA: WAGONJWA WANAHITAJI FARAJA KUTOKA KWA WAUGUZI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka wauguzi kula kiapo cha utoaji wa huduma bora ikiwa ni pamoja na kuwapa wagonjwa faraja na msaada wa saikolojia.”Msiondoke hapa mpaka mle kiapo cha kutoa huduma bora kwa niaba ya wauguzi wengine wote walioko

Read More »
Uncategorized
super-admin

MAJALIWA: WAKUNGA ZINGATIENI WELEDI KWENYE UTOAJI WA HUDUMA.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wakunga na wataalamu wengine wa afya nchini kufanya kazi kwa weledi na kuongeza bidii katika kutoa huduma kwa wananchi wanaowahudumia. Amesema kuwa kada zote za afya zinasimamiwa na miiko na maadili ya taaluma na miongozo iliyowekwa. “Hivyo basi kila mmoja ahakikishe anazingatia maelekezo

Read More »
Uncategorized
super-admin

Heri ya siku ya wafanyakazi Duniani / Mei Mosi 2024

Wafanyakazi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) wameshiriki Katika Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Katika Maadhimisho hayo Mgeni rasmi ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary S. Senyamule Kauli mbiu ya Maadhimisho hayo inasema “Nyongeza ya Mishahara ni Msingi

Read More »
Uncategorized
super-admin

TNMC NA UKUSANYAJI WA MAONI YA SHERIA YA UUGUZI NA UKUNGA TANZANIA.

Baraza la uuguzi na ukunga Tanzania TNMC, limeendelea kukusanya maoni kwa wauguzi na wakunga wa Halmashauri za Wilaya za Wanging”ombe na Makete mkoani Jombe, zoezi hili linalengo la kuihuisha ili kuiboresha Sheria ya uuguzi na ukunga ya Mwaka 2010. Wakizungumza katika vikao maalumu vya kukusanya maoni hayo, wanataaluma hao wametoa

Read More »