
TNMC YAADHIMISHA MIAKA 72 NA WATOTO WENYE ULEMAVU – DODOMA
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania leo 19 Machi 2025 limefanya maadhimisho ya miaka 72 Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1953. Maadhimisho hayo ya kihistoria leo yamefanyika kwa kutembelea kituo cha watoto wenye ulemavu cha Mlali kilichopo wilayani Kongwa Dodoma. Akizungumza katika hotuba yake kaimu Msajili TNMC Bi. Irene Chilewa amesema