
TNMC WAELIMISHA WADAU MTAALA MPYA WA MAFUNZO YA UUGUZI, UKUNGA NCHINI.
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania limekutana na wadau kwa lengo la kutoa taarifa ya namna mtaala mpya ulivyoandaliwa na namna utakavyotumika. kikao hicho kimefanyika leo katika Hoteli ya Protea Jijini Dar es Saalam. Mtaala uliokamilika tangu mwaka 2022 kwa uwezeshaji wa wadau wa maendeleo (UNFPA) ambaye ameonyesha umuhimu wa