
MAADHIMISHO YA MIAKA 72 YA TNMC
Kila ifikapo tarehe 19 machi ya kila mwaka Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania Huadhimisha miaka siku ya kuanzishwa kwa taasisi hii. Mwaka huu TNMC inatarajia kuadhimisha miaka 72 tangu kuanzishwa kwake mnamo 19 machi 1953 kwa kutembelea na kutoa misaada ya kibinadamu katika kituo cha watoto walemavu cha Mlali