
KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UTARAJALI( INTERNSHIP)
Ofisi ya Msajili inapenda kuwataarifu Wauguzi na Wakunga wahitimu wa Shahada za kwanza za Uuguzi na Ukunga wanaotarajia kujiunga na mafunzo ya Utarajali Mwezi Novemba 2025, kuwa dirisha la maombi kwa njia ya mtandao kupitia mfumo wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania https://tnmcis.tnmc.go.tz/ litafunguliwa kuanzia tarehe 13.10.2025 Saa 4:00