ORODHA YA WAUGUZI,WAKUNGA WATAKAOTUNUKIWA VYETI NA LESENI 17.09.2025 DODOMA-TANZANIA

Mahafali Ya Kumi Na Nne (14) Ya Kutunuku Vyeti Vya Usajili, Uorodheshwaji Na Leseni Wauguzi Na Wakunga Waliopata Sifa Mahafali yatafanyika Tarehe 17 Septemba 2025 – Ukumbi Wa Chimwaga, Jijini Dodoma. TAZAMA MAJINA HAPA DOWNLOAD HAPA
SIFA ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UUGUZI, UKUNGA PAMOJA NA USAJILI

DOWNLOAD HAPA
MAFUNZO KUHUSU RIPOTI ENDELEVU NA VIWANGO VYA KIMATAIFA VYA UHASIBU SEKTA YA UMMA (IPSAS)

Leo, Agosti 04,2025 Menejimenti ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania imepata mafunzo kuhusu ripoti endelevu na viwango vya kimataifa vya uhasibu sekta ya umma (IPSAS). Mafunzo hayo yanayotolewa na CPA DR. NEEMA KIURE yanatarajiwa kufanyika kwa siku tano yanalenga kuwaongezea uelewa kwa menejimenti ya TNMC juu ya ripoti endelevu na viwango vya kimataifa vya […]
MATOKEO YA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI ULIOFANYIKA TAREHE 23.05.2025

Ofisi ya Msajili Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, kwa mujibu wa Sheria ya Uuguzi na Ukunga “The Nursing and Midwifery Act, 2010” Kifungu cha (6) (a) na (o) inapenda kuwajulisha watahiniwa wote waliofanya Mtihani wa usajili na leseni tarehe 23.05.2025, kuwa matokeo ya Mtihani huu yametolewa leo tarehe 25 Juni, 2025 Jijini Dodoma.Matokeo yanapatikana […]
Baraza Latoa Tahadhari Uwepo Wa Kundi La Watu Ambao Si Waaminifu Wanao Warubuni Wauguzi, Wakunga Kuhusu Kujiendeleza Kitaaluma (CPD)

Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Msajili mapema mwezi juni mwaka huu imewataka wauguzi na wakunga kwa makini na baadhi ya watu wasio na nia njema na taaluma za Uuguzi na Ukunga ambao wanawarubuni wauguzi na wakunga wakiwataka kutoa kiasi cha Fedha ili wawaweze kuwasomewa mafunzo ya kujiendeleza kitaaluma (CPD) jambo ambalo ni kinyume na kifungu […]
MUUGUZI MKUU WA SERIKALI AKUTANA NA MBUNIFU WA “MEDICAL ROBOT BED”

Leo 04 June 2025 Muuguzi Mkuu wa Serikali Bi. Ziada Sellah amekutana na Muuguzi na Mkunga Edward Tumoyi ambaye mbunifu wa “Medical Robot Bed” ili kuweza kuifahamu kwa kina mfumo huo wa “Medical Robot Bed” namna unavyofanya na kutoa usaidizi katika utoaji huduma katima maeneo ya Afya. Kikao kifupi hicho kilichofanyika katika Ukumbi mdogo wa […]
KIKAO KAZI CHA KUPITIA MAWANDA (SCOPE OF PRACTICE) YA KADA YA UUGUZI NA UKUNGA TANZANIA

Timu ya wauguzi na wakunga katika maeneo mbalimbali ya Ubobezi wakutana kwa lengo la kupitia mawanda ya kada ya Uuguzi na Ukunga Tanzania. Akifungua kikao hicho muhimu kinachofanyika katika Ukumbi wa Taasisi ya Afya na Sayansi Shirikishi Dodoma, Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania Bi.Agnes Mtawa amewapongeza washiriki kwa kuitikia wito huo, huku […]
PENATI KWA WASIO HUISHA LESENI ZA KITAALUMAMWAKA FEDHA 2024/2025

Download here
WATAHINIWA 2,858 WA KADA ZA UUGUZI NA UKUNGA KUFANYA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI 23 MEI 2025

TAARIFA KWA UMMA
NAMBA ZA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI MEI, 2025

GUSA HAPA KUTAZAMA NAMBA YA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI