NAMBA ZA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI MEI, 2025

Zifuatazo ni namba za Mtihani wa kitaifa wa Usajili na Leseni utakaofanyika 23 Mei,2025. BOFYA KUTAZAMA NAMBA YAKO SASA: 01:DODOMA- CHUO KIKUU CHA DODOMA 02:DAR ES SALAAM- CHUO KIKUU CHA KAMPLA 03:MWANZA -TAASISI YA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI-TANDABUI 04: ALL BACHELORS CANDIDATES (KAMPALA,DODOMA AND TANDABUI) 05: ALL CERTIFICATE CANDIDATES

CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA (TANNA) WAPATA UONGOZI MPYA

Na Ezekiel M. Nyalusi (Iringa) Chama cha Wauguzi Tanzania 11Mei 2025 walipiga kura kwaajili ya kupata uongozi mpya ambapo viongozi mbalimbali wamepatikana, Uchaguzi huo uliofanyika katika Mkutano Mkuu wa chama uliofanyika Mkoani Iringa. Akitangaza Matokeo hayo mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi huo Bwana Fidelis N. Gaakuba amesema kwa upande wa Uraisi  ameshinda Dr. Ezekiel Mbao […]

Kamati ya Elimu na Maendeleo ya Taaluma – TNMC ya Keti Kikao cha 22 Leo

Leo 24.04.2025 Wajumbe wa kamati ya Elimu na Maendeleo ya taaluma ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania TNMC wanafanya kikao cha kawaida cha robo ya tatu leo katika ukumbi mdogo wa mikutano wa Ofisi za Baraza Jijini Dodoma. Kikao hicho ambacho hufanyika kila robo mwaka kwa lengo la kupitia utekelezaji wa majukumu ya Baraza […]

KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA MAOMBI YA MTIHANIWA USAJILI NA LESENI APRILI, 2025

Wahitimu wote wa kada za Uuguzi, Ukunga na Utaalamu wa dawa za usingizi na ganzi, wanaotarajia kufanya Mtihani wa Usajili na Leseni, mnatangaziwa kuwa dirisha la maombi litafunguliwa rasmi kuanzia Jumamosi ya tarehe 12.04.2025 hadi Jumatatu ya tarehe 12.05.2025.Maombi yatafanyika kwa njia ya mtandao kwa kutumia mfumo Rasmi wa Baraza https://tnmcis.tnmc.go.tz/ muombaji kwa mara ya […]

WAZIRI MHAGAMA MGENI RASMI WIKI YA AFYA KITAIFA

Maelfu ya wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania leo wamejitokeza kwa wingi kushiriki kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Afya Kitaifa 2025, yanayofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma. Mgeni rasmi katika maadhimisho haya ni Mhe.Waziri wa Afya, Jenista Mhagama , akimuwakilisha Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano […]