
FAHAMU HAKI NA WAJIBU WA MGONJWA/MTEJA AKIWA KATIKA KITUO CHA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA.
Akizungumza na vyombo vya Habari katika Maonesho ya kimataifa ya Nanenane Jijini Dodoma Afisa Uhusiano Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC) Ndugu Ezekiel Nyalusi amesema jamii ni vyema ikafahamu haki na wajibu wa mteja au mgonjwa pindi anapofika kupewa huduma za Afya katika kituo cha kutolea huduma. Ndugu Nyalusi amzeiainisha