THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

TANZANIA NURSING AND MIDWIFERY COUNCIL

SIFA ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UUGUZI, UKUNGA PAMOJA NA USAJILI

SIFA ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UUGUZI, UKUNGA PAMOJA NA USAJILI

DOWNLOAD HAPA

super-admin
On August 18, 2025
MAFUNZO KUHUSU RIPOTI ENDELEVU NA VIWANGO VYA KIMATAIFA VYA UHASIBU SEKTA YA UMMA (IPSAS)

MAFUNZO KUHUSU RIPOTI ENDELEVU NA VIWANGO VYA KIMATAIFA VYA UHASIBU SEKTA YA UMMA (IPSAS)

Leo, Agosti 04,2025 Menejimenti ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania imepata mafunzo kuhusu ripoti endelevu na viwango vya kimataifa vya uhasibu sekta ya umma (IPSAS). Mafunzo hayo yanayotolewa na CPA DR. NEEMA KIURE yanatarajiwa

super-admin
On August 4, 2025
MATOKEO YA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI ULIOFANYIKA TAREHE 23.05.2025

MATOKEO YA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI ULIOFANYIKA TAREHE 23.05.2025

Ofisi ya Msajili Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, kwa mujibu wa Sheria ya Uuguzi na Ukunga "The Nursing and Midwifery Act, 2010" Kifungu cha (6) (a) na (o) inapenda kuwajulisha watahiniwa wote waliofanya Mtihani

super-admin
On June 25, 2025
Baraza Latoa Tahadhari Uwepo Wa Kundi La Watu Ambao Si Waaminifu Wanao Warubuni Wauguzi, Wakunga Kuhusu Kujiendeleza Kitaaluma (CPD)

Baraza Latoa Tahadhari Uwepo Wa Kundi La Watu Ambao Si Waaminifu Wanao Warubuni Wauguzi, Wakunga Kuhusu Kujiendeleza Kitaaluma (CPD)

Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Msajili mapema mwezi juni mwaka huu imewataka wauguzi na wakunga kwa makini na baadhi ya watu wasio na nia njema na taaluma za Uuguzi na Ukunga ambao wanawarubuni wauguzi na

super-admin
On June 11, 2025
Habari
super-admin

WAZIRI MHAGAMA MGENI RASMI WIKI YA AFYA KITAIFA

Maelfu ya wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania leo wamejitokeza kwa wingi kushiriki kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Afya Kitaifa 2025, yanayofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma. Mgeni rasmi katika maadhimisho haya ni Mhe.Waziri wa Afya, Jenista Mhagama , akimuwakilisha Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan,

Read More »
Habari
super-admin

TNMC WAELIMISHA WADAU MTAALA MPYA WA MAFUNZO YA UUGUZI, UKUNGA NCHINI.

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania limekutana na wadau kwa lengo la kutoa taarifa ya namna mtaala mpya ulivyoandaliwa na namna utakavyotumika. kikao hicho kimefanyika leo katika Hoteli ya Protea Jijini Dar es Saalam. Mtaala uliokamilika tangu mwaka 2022 kwa uwezeshaji wa wadau wa maendeleo (UNFPA) ambaye ameonyesha umuhimu wa

Read More »
Habari
super-admin

WATARAJALI WAFUNDWA KUZINGATIAMAADILI YA KITAALUMA MAFUNZONI

Watarajali zaidi ya 30 wamekutana Jijini Dodoma kwa lengo la kupata semina elekezi kabla ya kuanza mafunzo kwa vitendo katika maeneo mbalimbali ya kutolea huduma za Afya hapa nchini. Semina hiyo iliyoandaliwa na Kurugenzi ya Maadili, Usajili na leseni kutoka Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania imelenga kuwajengea uwezo wakutoa

Read More »
Habari
super-admin

Wauguzi, Wakunga Endeleni Kubeba Dhamana Kama Serikali Ilivyowekeza 

Wauguzi, Wakunga na Watoa huduma za Afya, wameagizwa kuendelea kubeba dhamana kubwa katika kuwapatia huduma bora  Watanzania kama ambavyo Serikali ya Awamu ya Sita  ya Dkt. Samia Suluhu Hassan ilivyowekeza katika sekta ya afya. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Read More »
Habari
super-admin

TNMC YAADHIMISHA MIAKA 72 NA WATOTO WENYE ULEMAVU – DODOMA

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania leo 19 Machi 2025 limefanya maadhimisho ya miaka 72 Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1953. Maadhimisho hayo ya kihistoria leo yamefanyika kwa kutembelea kituo cha watoto wenye ulemavu cha Mlali kilichopo wilayani Kongwa Dodoma. Akizungumza katika hotuba yake kaimu Msajili TNMC Bi. Irene Chilewa amesema

Read More »
Habari
super-admin

MAADHIMISHO YA MIAKA 72 YA TNMC

Kila ifikapo tarehe 19 machi ya kila mwaka Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania Huadhimisha miaka siku ya kuanzishwa kwa taasisi hii. Mwaka huu TNMC inatarajia kuadhimisha miaka 72 tangu kuanzishwa kwake mnamo 19 machi 1953 kwa kutembelea na kutoa misaada ya kibinadamu katika kituo cha watoto walemavu cha Mlali

Read More »
Matukio
super-admin

MAADHIMISHO YA MIAKA 72 YA TNMC

Kila ifikapo tarehe 19 machi ya kila mwaka Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania Huadhimisha miaka siku ya kuanzishwa kwa taasisi hii. Mwaka huu TNMC inatarajia kuadhimisha miaka 72 tangu kuanzishwa kwake mnamo 19 machi 1953 kwa kutembelea na kutoa misaada ya kibinadamu katika kituo cha watoto walemavu cha Mlali

Read More »