NI LAZIMA TUZALISHE WAUGUZI NA WAKUNGA WENYE WELEDI

“Ilituweze kuboresha huduma ya jamii inatakiwa kuwa na wauguzi wenye sifa ya kuhudumia jamii, “ni kweli tukubali kuwa tupo na shida ya walimu wasio na sifa ya kufundisha wanafunzi haiwezekani mwalimu umetoka chuo ukaenda kufundisha wanafunzi wakati hujawahi kufanya kazi kwa vitendo” Bi. Ziada. Bi.ziada ameongeza kuwa kuna umuhim mkubwa Baraza la Uuguzi na Ukunga […]
TNMC: WAUGUZI VIONGOZI SIMAMIENI VYEMA MAADILI KATIKA VITUO VYENU.

Mkurugenzi wa Usajili, Leseni na Maadili kutoka TNMC Bi. Jane Mazigo amewataka Wauguzi viongozi kutoka ngazi zote za kutolea huduma za Afya nchini kusimamia vyema huduma za Afya nchini sambamba na kuhakikisha huduma ya Uuguzi na Ukunga zinafuata Maadili, taratibu na miongozo ya huduma ya Afya. Hayo ameyasema wakati wa Mkutano wa mwaka wa wauguzi […]
TNMC:WAUGUZI, WAKUNGA WALIOSAJILIWA WAFIKIA 52,000.

Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) Bi. Agnesi Mtawa, leo amefanya mahojiano na shirika la Utangazaji Tanzania TBC Kupitia kipindi cha Asubuhi kinachofamika kwa jina la Jambo Tanzania. Akizungumza katika mahojiano hayo maalum yenye lengo la kuangazia mafanikio ya Baraza kuelekea maadhimisho ya miaka 71 tangu kuanzishwa mwaka 1953, Msajili ametaja baadhi […]
Wauguzi, wakunga 2099 watunukiwa vyeti, leseni za kitaaluma.

Wauguzi na wakunga wapya wapatao 2099 wamekula kiapo cha kuitumikia taaluma hiyo kwa kuzingatia maadili, miiko, sheria na kanuni za uuguzi na ukunga. Wamefikia hatua hiyo baada ya kufaulu mtihani wa Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC) uliofanyika Desemba 29, 2023 na hivyo kupata sifa za kuorodheshwa, kusajiliwa na kupewa leseni za kutambuliwa rasmi kama […]
Katibu Mkuu Jingu; Wasajili Simamieni Maadili Katika Kada ya Afya

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Jonh Jingu, amewaagiza Wasajili wa Mabaraza na Bodi za kitaaluma zilizochini ya Wizara ya Afya, kuimarisha na kusimamia mifumo ya Maadili ya kitaaluma na ya kazi kwa watumishi wa kada ya Afya, kwa kufika katika maeneo yao ya kazi badala ya kusubiri waletewe kesi mezani. Katibu Mkuu, ametoa […]
Waziri Nape aipongeza TNMC kwa kudhamini Mkutano wa TBC.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mbunge wa Jimbo la Mtama Mkoani Lindi Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ametoa pongezi hizo wakati wa ufunguzi wa Mkutano. ulioandaliwa na Shirika la Utangazaji Tanzania TBC ukiwahusianisha watayarishaji wa vipindi vya Elimu kwa Umma ambao unafanyika Jijini Mwanza ambapo Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania wakiwa […]
Menejimenti ya TNMC imezuru eneo la Mradi wa Ujenzi.

Timu ya Uongozi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) inayoundwa na Msajili ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi, Wakurugenzi, Wakuu wa sehemu na Vitengo, mapema leo 21/02/2024, imezuru eneo ambalo unatekelezwa mradi wa ujenzi wa Ofisi za Baraza eneo la Medeli Jijini Dodoma. Ikumbukwe kuwa, mnamo tarehe 02/10/2023 Baraza lilitiliana Saini na kamapuni […]
Wauguzi, wakunga wapata Mafunzo ya Sheria na Maadili-Geita

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limeweka kambi ya siku sita mkoani Geita kwa lengo la utoaji Mafunzo ya Maadili na sheria ya Uuguzi na Ukunga kwa wauguzi na wakunga katika Halmashauri zote Mkoani humo. Ziara hiyo ya kawaida inalengo la kutoa elimu ya Maadili na Sheria kwa wauguzi na wakunga ili kuendelea kutoa […]
TNMC Yatangaza Matokeo ya Usajili na Leseni

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Usajili na Leseni uliofanyika Tarehe 29.12.2024. Akitangaza Matokeo hayo katika Ofisi za Baraza Jijini Dodoma, Msajili wa Baraza Bi.Agnes Mtawa, amesema, Mtihani huo uliofanyika katika vituo nane (8) ambavyo ni Taasisi ya Afya na Sayansi Shirikishi Tandabui-Mwanza, Taasisi ya Afya na Sayansi Shirikishi-Mbalizi, […]
Kikao cha Baraza cha uendeshaji wa Mashitaka yanayowakabili wauguzi,wakunga chafanyika Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania Prof.Lilian Mselle, ameongoza kikao cha Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania kinachofanyika Ukumbi mdogo wa Mikutano wa Jakaya Kikwete. Kikao hicho cha uendeshaji wa mashitaka huketi na kutolewa maamuzi kwa mujibu wa Sheria ya uuguzi na ukunga. Aidha, kwamujibu wa Sheria hiyo 31(1) Mtu yeyote ambaye hajaridhika […]