THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

TANZANIA NURSING AND MIDWIFERY COUNCIL

MAHAFALI YA TISA YA TNMC WAUGUZI, WAKUNGA WATABASAMU

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania limeandaa Mahafali kwa Wahitimu wote wa Kozi za Uuguzi na Ukunga waliofaulu Mtihani wa Usajili na Leseni uliofanyika tarehe 07/9/2023, Mahafali haya yaliyofanyika katika Ukumbi wa “CATHEDRAL SOCIAL HALL”Jijini-Dodomayataambatana na utoaji wa Vyeti vya Usajili na Leseni.

TAARIFA YA MAHAFALI YA TISA YA KITAALUMA KWA WAUGUZI NA WAKUNGA.

Dodoma-Tanzania 09.01.2024. Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania anawaarifu Wahitimu wote wa Kozi za Uuguzi na Ukunga waliofaulu Mtihani wa Usajili na Leseni uliofanyika tarehe 07/9/2023, Kuwa Mahafali ya kutoa Vyeti vya Usajili na Leseni yatafanyika siku ya Jumanne tarehe 16/1/2024 kuanzia Saa1:00 Asubuhi katika Ukumbi wa “CATHEDRAL SOCIAL HALL”Jijini-Dodoma Maelekezo ya kufika […]

TNMC: Wauguzi, wakunga na watarajali 134 wamenufaika na Mafunzo ya Maadili DSM

Jumla ya Wauguzi, wakunga na watarajali 134 wamenufaika na Mafunzo ya Maadili pamoja na uhamasishaji kuhusu Maadili katika Hospitali tatu ambazo ni Hosiptali ya Taifa ya Muhimbili, Hospitali tanzu ya Mloganzila na Hospitali ya Tumbi Kibaha Mkaoni Pwani.Mkurugenzi Ofisi ya Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga kutoka Idara ya Usajili, Leseni na Maadili Bi. […]

TNMC imetangaza Matokeo ya Mtihani wa Usajili na Leseni Uliofanyika Tarehe O7.09.2023.

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) linatangaza Matokeo ya Mtihani wa usajili na leseni uliyofanyika tarehe 07.09.2023 Matokeo hayoyanapatikana kwenye akaunti ya kila Mtahiniwa kwenye mfumo wa Baraza (hppts://ww.tnmcis.go.tz). Matokeo haya yamechelewa kutangazwa kutokana na baadhi ya watahiniwa kukiuka taratibu za ufanyaji Mitihani ambazo zilizosababisha kufanyika uchunguzi ili kubaini chanzo cha ukiukwaji huo. Baraza […]

Mtihani wa Usajili na Leseni kufanyika Disemba 29,2023

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania linatarajia kuendesha zoezi la Mtihani mapema siku ya Ijumaa 29/12/2023 kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 7:00 mchana, ambapo Jumla ya watahiniwa 4165 wamekidhi vigezo vya kufanya Mtihani huu, wakiwemo waombaji 3917 ambao wanafanya mtihani kwa mara ya kwanza na 248 wanaorudia, kati yao Wanaume ni 1647 na wanawake […]

Tangazo kwa Watahiniwa wa Mtihani wa Usajili na Leseni Disemba 29.2023

Ofisi ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania inawatangazia   watahiniwa wote kufika vituo vya Mtihani wa usajili na leseni siku ya tarehe 28.12.2023 saa mbili asubuhi kwa ajili ya maelekezo. Aidha, kadi za indexin vitatolewa siku hiyo kwa ambao hawakuchukua awali, lakini pia namba za Mtihani zitabandikwa kwenye mbao za matangazo zilizopo kituoni hapo na […]

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania latoa Msaada wa Kibinadam Hanang

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania limepeleka misaada ya kibinadamu katika wilaya ya Hanang palipokumbwa na Maafa ya maporomoko ya tope, Desemba 3 mwaka huu na kusababisha vifo vya watu 89, majeruhi na wengine wakikosa makazi. Akikabidhi Misaada hiyo Bw. Augustino Mwita ambaye ni Mkaguzi wa ndani wa Baraza la Uuguzi na Ukunga, amesema watumishi […]

TNMC Habari Yazuru Gazeti la Mwananchi.

Maofisa wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) Ndimmyake Mwakapiso na Ezekiel Nyalusi, wameanza ziara ya siku saba ya kuzuru vyombo vya Habari Jijini Dar es Salaam. Katika siku ya kwanza leo Disemba 11/2023, kitengo kimefanya ziara katika chumba cha uchakataji wa Habari za Gazeti hilo mashuhuri Nchini. […]