
DKT. NTULI AIBUKA MSHINDI UKURUGENZI MKUU ECSA-HC
Mkurugenzi wa Kinga wa Wizara ya Afya kutoka Tanzania Dkt. Ntuli Kapologwe, ameibuka mshindi wa nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Afrika Mashariki, Kati, na Kusini (ECSA – HC) na kuwashinda wagombea wengine sita waliokuwa wakiwania nafasi hiyo. Dkt. Ntuli anachukua nafasi hiyo kutoka kwa