Ofisi ya Msajili inapenda kuwataarifu Wauguzi na Wakunga wahitimu wa Shahada za kwanza za Uuguzi na Ukunga wanaotarajia kujiunga na mafunzo ya Utarajali Mwezi Novemba 2025, kuwa dirisha la maombi kwa njia ya mtandao kupitia
CALL FOR ABSTRACTS AND REGISTRATION THEME:INNOVATIONS AND DIGITAL HEALTH SOLUTIONS: TRANSFORMING NURSING AND MIDWIFERY PRACTICES IN THE 21st Submission portal: https://bit.ly/3W0eBho Deadline for abstract submission:31st October 2025 Registration portal:https://bit.ly/4nV1WZe VENUE: CORRIDOR SPRINGARUSHA - TANZANIA DATE:
Menejimenti ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) ikiongozwa na Msajili Bi. Agnes Mtawa leo Oktoba 1, 2025 imefanya ziara ya kutembelea eneo la ujenzi wa Ofisi ya Baraza (site visiting) kuangalia hatua za
A: BACHELOR BACHELOR OF SCIENCE IN MIDWIFERY (KITUO CHA:KAMPALA,RUCU,IAA,UDOM,TANDABUI) BACHELOR OF SCIENCE IN NURSING (KITUO CHA: KAMPLA,IAA,RUCU,UDOM,TPC,TANDABUI)BACHELOR OF SCIENCE IN NURSE ANAESTHESIA (KITUO CHA: KAMPALA) B:DIPLOMA INSTITUTE OF ACCOUNTACY ARUSHA: MAIN HALL 2 KAMPALA UNIVERSITY: LECTURE HALL 8 RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY -IRINGA: MAIN HALL 1 ST. JOHN’S UNIVERSITY OF TANZANIA:
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limewatunuku wauguzi na wakunga 1222 Leseni na vyeti vya kitaaluma hii leo 13.12.2024 katika Mahafali ya 12 ya kitaaluma yaliyofanyika katika ukumbi wa st.peter’s swaswa uliopo Jijini Dodoma. Akihutubia katika hafla ya kitaaluma Mgeni rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na
GUSA LINK HAPA CHINI KWA KITUO CHA MLOGANZILA Orodha ya watahiniwa watakaofanya mtihani kituo cha MLOGANZILA GUSA LINK HAPA CHINI KWA KITUO CHA UPANGA Orodha ya watahiniwa watakaofanya mtihani kituo cha UPANGA
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC), limetoa mafunzo elekezi kwa Madaktari, wauguzi,wakunga na wauguzi wataalamu wa dawa za usingizi na ganzi wanaofanya kazi katika vyumba vya upasuaji pamoja na baadhi ya watumishi kutoka vitengo mbalimbali vya kutolea huduma wapatao 45 katika Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini, juu ya
Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania Bi.Agnes Mtawa anawajulisha kuwa matokeo ya Mtihani wa usajili na leseni uliofanyika tarehe 23 Agosti, 2024 yametolewa tarehe 07 Novemba, 2024 baada ya kukamilisha mchakato wa taratibu za kisheria kwa mujibu wa Sheria ya Uuguzi na Ukunga Tanzania ya mwaka 2010 (The
Watarajali zaidi ya 700 wamekutana katika Ukumbi wa Chimwaga uliopo Jijini Dodoma kwa lengo la kupata semina elekezi kabla ya kuanza mafunzo kwa vitendo katika maeneo mbalimbali ya kutolea huduma za Afya hapa nchini. Semina hiyo iliyoandaliwa na Kurugenzi ya Maadili, Usajili na leseni kutoka Baraza la Uuguzi na Ukunga
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) leo 11.10.2024 limezindua mfumo wa mawasiliano ya huduma kwa wateja utakao tumika kuwasiliana na umma hususani wadau wake wakuu ambao ni wauguzi na wakunga ndani na nje ya nchi ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha kilele cha wiki ya huduma kwa wateja. Wiki ya
Viongozi wa Chama cha “wanafiziotherapi” Tanzania (Association of Physiotherapists in Tanzania) leo oktoba 10,2024 wameitembelea ofisi ya Msajili wa Baraza la Uuguzi na Uunga Tanzania kwa lengo la kujifunza mambo mbalimbali ya utendaji kazi wa TNMC. Pamoja na mambo mengine mengi Viongozi hao ndg. Jerusalem Makotore(kulia) ambaye ni Mhazini na
“Leseni ni utambulisho kwa muuguzi na mkunga kutoa huduma kwa jamii na ipo kwa mjibu wa Sheria ya Uuguzi na Ukunga ya mwaka 2010 hivyo, ni vyema kwa Muuguzi na Mkunga kuwa na leseni iliyo hai muda wote wa kutoa huduma”. Hayo ameyasema Bi.Jane Mazigo, Mkurugenzi wa Maadili, Usajilina Leseni