
Mhe. Kassim Majaliwa ameongoza mamia ya Wanariadha kwenye mbio za NBC Marathon Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa Mapema Julai 28, 2024 ameongoza mamia ya Wanariadha kwenye mbio za NBC Marathoni zilizoandaliwa na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC Bank). Mbio hizo za Kilomita 42, 21, 10, 5 na Mbio maalum za Viongozi zimeanzia viwanja vya