
MSAJILI TNMC: INDEXING NI SUALA LA KISHERIA SI MATAKWA YA MTU BINAFSI
Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania Bi. Agness Mtawa amewataka wanafunzi wote wa kada ya Uuguzi na Ukunga nchini kuhakikisha wanakamilisha usajili wa awali (Student Indexing) ili kuweza kutambulika na mfumo wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania. Hayo ameyasema leo wakati wa kikao kifupi walichokiomba wanafunzi wa