
WAZAZI TENGENI BAJETI YA KUWANUNULIA TAULO ZA KIKE WATOTO WENU
Na WAF, ARUSHAWazazi na walenzi nchini wametakiwa kuhakikisha wanawawezesha watoto wa kike kila mwezi kupata vifaa vyao vyakujilinda na kuwa na hedhi salama katika muda husika. Rai hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Molel wakati akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya juma la hedhi Salama Duniani ambayo