THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

TANZANIA NURSING AND MIDWIFERY COUNCIL

MUUGUZI MKUU WA SERIKALI AKUTANA NA MBUNIFU WA “MEDICAL ROBOT BED”

MUUGUZI MKUU WA SERIKALI AKUTANA NA MBUNIFU WA “MEDICAL ROBOT BED”

Leo 04 June 2025 Muuguzi Mkuu wa Serikali Bi. Ziada Sellah amekutana na Muuguzi na Mkunga Edward Tumoyi ambaye mbunifu wa “Medical Robot Bed” ili kuweza kuifahamu kwa kina mfumo huo wa “Medical Robot Bed”

super-admin
On June 4, 2025
KIKAO KAZI CHA KUPITIA MAWANDA (SCOPE OF PRACTICE) YA KADA YA UUGUZI NA UKUNGA TANZANIA

KIKAO KAZI CHA KUPITIA MAWANDA (SCOPE OF PRACTICE) YA KADA YA UUGUZI NA UKUNGA TANZANIA

Timu ya wauguzi na wakunga katika maeneo mbalimbali ya Ubobezi wakutana kwa lengo la kupitia mawanda ya kada ya Uuguzi na Ukunga Tanzania. Akifungua kikao hicho muhimu kinachofanyika katika Ukumbi wa Taasisi ya Afya na

super-admin
On May 29, 2025
PENATI KWA WASIO HUISHA LESENI ZA KITAALUMAMWAKA FEDHA 2024/2025

PENATI KWA WASIO HUISHA LESENI ZA KITAALUMAMWAKA FEDHA 2024/2025

Download here

super-admin
On May 27, 2025
WATAHINIWA 2,858 WA KADA ZA UUGUZI NA UKUNGA KUFANYA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI 23 MEI 2025

WATAHINIWA 2,858 WA KADA ZA UUGUZI NA UKUNGA KUFANYA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI 23 MEI 2025

TAARIFA KWA UMMA

super-admin
On May 20, 2025
Uncategorized
super-admin

NI LAZIMA TUZALISHE WAUGUZI NA WAKUNGA WENYE WELEDI

“Ilituweze kuboresha huduma ya jamii inatakiwa kuwa na wauguzi wenye sifa ya kuhudumia jamii, “ni kweli tukubali kuwa tupo na shida ya walimu wasio na sifa ya kufundisha wanafunzi haiwezekani mwalimu umetoka chuo ukaenda kufundisha wanafunzi wakati hujawahi kufanya kazi kwa vitendo” Bi. Ziada. Bi.ziada ameongeza kuwa kuna umuhim mkubwa

Read More »
Uncategorized
super-admin

TNMC: WAUGUZI VIONGOZI SIMAMIENI VYEMA MAADILI KATIKA VITUO VYENU.

Mkurugenzi wa Usajili, Leseni na Maadili kutoka TNMC Bi. Jane Mazigo amewataka Wauguzi viongozi kutoka ngazi zote za kutolea huduma za Afya nchini kusimamia vyema huduma za Afya nchini sambamba na kuhakikisha huduma ya Uuguzi na Ukunga zinafuata Maadili, taratibu na miongozo ya huduma ya Afya. Hayo ameyasema wakati wa

Read More »
Uncategorized
super-admin

TNMC:WAUGUZI, WAKUNGA WALIOSAJILIWA WAFIKIA 52,000.

Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) Bi. Agnesi Mtawa, leo amefanya mahojiano na shirika la Utangazaji Tanzania TBC Kupitia kipindi cha Asubuhi kinachofamika kwa jina la Jambo Tanzania. Akizungumza katika mahojiano hayo maalum yenye lengo la kuangazia mafanikio ya Baraza kuelekea maadhimisho ya miaka 71 tangu kuanzishwa

Read More »
Uncategorized
super-admin

Wauguzi, wakunga 2099 watunukiwa vyeti, leseni za kitaaluma.

Wauguzi na wakunga wapya wapatao 2099 wamekula kiapo cha kuitumikia taaluma hiyo kwa kuzingatia maadili, miiko, sheria na kanuni za uuguzi na ukunga. Wamefikia hatua hiyo baada ya kufaulu mtihani wa Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC) uliofanyika Desemba 29, 2023 na hivyo kupata sifa za kuorodheshwa, kusajiliwa na kupewa

Read More »
Uncategorized
super-admin

Katibu Mkuu Jingu; Wasajili Simamieni Maadili Katika Kada ya Afya

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Jonh Jingu, amewaagiza Wasajili wa Mabaraza na Bodi za kitaaluma zilizochini ya Wizara ya Afya, kuimarisha na kusimamia mifumo ya Maadili ya kitaaluma na ya kazi kwa watumishi wa kada ya Afya, kwa kufika katika maeneo yao ya kazi badala ya kusubiri waletewe

Read More »
Uncategorized
super-admin

Waziri Nape aipongeza TNMC kwa kudhamini Mkutano wa TBC.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mbunge wa Jimbo la Mtama Mkoani Lindi Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ametoa pongezi hizo wakati wa ufunguzi wa Mkutano. ulioandaliwa na Shirika la Utangazaji Tanzania TBC ukiwahusianisha watayarishaji wa vipindi vya Elimu kwa Umma ambao unafanyika Jijini Mwanza ambapo Baraza la

Read More »
Uncategorized
super-admin

Menejimenti ya TNMC imezuru eneo la Mradi wa Ujenzi.

Timu ya Uongozi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) inayoundwa na Msajili ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi, Wakurugenzi, Wakuu wa sehemu na Vitengo, mapema leo 21/02/2024, imezuru eneo ambalo unatekelezwa mradi wa ujenzi wa Ofisi za Baraza eneo la Medeli Jijini Dodoma. Ikumbukwe kuwa, mnamo tarehe 02/10/2023

Read More »
Uncategorized
super-admin

Wauguzi, wakunga wapata Mafunzo ya Sheria na Maadili-Geita

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limeweka kambi ya siku sita mkoani Geita kwa lengo la utoaji Mafunzo ya Maadili na sheria ya Uuguzi na Ukunga kwa wauguzi na wakunga katika Halmashauri zote Mkoani humo. Ziara hiyo ya kawaida inalengo la kutoa elimu ya Maadili na Sheria kwa wauguzi

Read More »
Uncategorized
super-admin

TNMC Yatangaza Matokeo ya Usajili na Leseni

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Usajili na Leseni uliofanyika Tarehe 29.12.2024. Akitangaza Matokeo hayo katika Ofisi za Baraza Jijini Dodoma, Msajili wa Baraza Bi.Agnes Mtawa, amesema, Mtihani huo uliofanyika katika vituo nane (8) ambavyo ni Taasisi ya Afya na Sayansi Shirikishi Tandabui-Mwanza, Taasisi

Read More »